Monday, June 7, 2010

USIPOCHEKA UTAPOTEZA DAKIKA 4 ZA KUISHI.

USIPOCHEKA UTAPOTEZA DAKIKA 4 ZA KUISHI.

THE CHILDREN were lined up in the cafeteria of a Catholic elementary school for lunch. At the head of the table was a large pile of apples. The nun made a note, and posted on the apple tray: "Take only ONE. God is watching." Moving further along the lunch line, at the other end of the table was a large pile of chocolate chip cookies. A child had written a note, "Take all You want. God is watching the apples!"

SOMEONE died playing golf Fred got home from his Sunday round of golf later than normal and very tired. "Bad day at the course?" his wife asked. "Everything was going fine," he said. "Then Harry had a heart attack and died on the 10th tee." "Oh, that's awful!" "You're not kidding. For the whole back nine it was hit the ball, drag Harry, hit the ball, drag Harry."

TWO Men went bear hunting. While one stayed in the cabin, the other went out looking for a bear. He soon found a huge bear, shot at it but only wounded it. The enraged bear charged toward him, he dropped his rifle and started running for the cabin as fast as he could. He ran pretty fast but the bear was just a little faster and gained on him with every step. Just as he reached the open cabin door, he tripped and fell flat.

A New York City yuppie moved to the country and bought a piece of land. He went to the local feed and livestock store and talked to the proprietor about how he was going to take up chicken farming. He then asked to buy 100 chicks. "That's a lot of chicks," commented the proprietor. "I mean business," the city slicker replied.

A husband and wife were driving down a country lane on their way to visit some friends. They came to a muddy patch in the road and the car became bogged. After a few minutes of trying to get the car out by themselves, they saw a young farmer coming down the lane, driving some oxen before him.

RETRIVED FROM
http://www.tanzanet.org/modules.php?name=News&file=categories&op=newindex&catid=3 ON 7TH, 06,2010.

MAHOJIANO YA PROF HAROUB OTHMAN WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NA MAYAGE MAYAGE WA GAZETI LA ?Mtanzania? 28 April, 2005 Swali: Hali ya Zanzibar kisiasa kwa ujumla si shwari. Unadhani tatizo ni nini? Jibu : Kuna watu wanaojaribu sana kabisa kuvihusisha vyama hivi vya CUF na CCM na vyama vilivyopita. Hiyo si sahihi. Baada ya chama cha TANU, mara baada ya uhuru, kufungua milango yake kwa watu wote bila ya kujali kabila au asili, kilikuwa ni chama cha wote. Na baadae mwaka 1965 ilipopitishwa sheria ya chama kimoja, hata wale walio kwenye vyama vya upinzani walijiunga na TANU. Baada ya hapo hatukusikia tena wanachama wa TANU wakitafutwa nasaba na asili zao. Na baada ya mwaka 1977 TANU ilipojiunga na ASP kuunda CCM, hata ule unasaba na TANU umetoweka. Sasa mwanachama wa CCM kutoka Bara anahisabika kwa uadilifu na uaminifu wake kwa CCM. Ulipokuja mfumo wa vyama vingi, na akina Chief Fundikira, Oscar Kambona na Lifa Chipaka kuanzisha vyama, hatukusikia vyama vyao vikuhusishwa na vyama vilivyopita. Wala hatukusikia mtoto wa Zuberi Mtemvu akishtumiwa kwamba ?mtoto wa nyoka ni nyoka?.

MBUNGE ALIYEHIJIWA
TANZANIA Labour Party (TLP) ina wabunge watano bungeni. Miongoni mwao ni Mbunge wa Moshi Vijijini, Bwana Thomas Ngawaiya. Katika mahojiano haya na mwandishi JACQUELINE LIANA, anazungumzia mafanikio yaliyopatikana katika eneo lake na kudokeza kama atawania nafasi hiyo tena au la. SWALI: Wananchi wa jimbo lako walikuwa wanakabiliwa na matatizo sugu yapi wakati ulipochaguliwa kuwa mbunge wao, na umefanya jitihada gani kuyatatua? JIBU: Matatizo yalikuwa makubwa sana. Kuhusu barabara; zilikuwa na mashimo sana. Hazikutengenezwa kwa kipindi kirefu. Zilikuwa kama vile ni dhambi kwa Serikali kuzishughulikia.

MAZINGIRA KILIMOZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI
INGAWA vilizaliwa nyakati tofauti, mahali tofauti na watu tofauti vikiwa na malengo yale yale ya kisiasa, vyama vya TANU (Tanganyika African National Union) na ASP (Afro-Shiraz Party) viliungana Jumamosi, Februari 5, 1977, mjini Zanzibar. Hapo ndipo Chama Cha Mapinduzi (CCM) tunachokijua leo kilipozaliwa rasmi. Mwandishi WILLIAM SHAO anachambua mazingira kilimozaliwa chama hicho ambacho leo kinatimiza miaka 28. FEBRUARI 5, 1977, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilizaliwa, kikiwa ni matokeo ya kuungana kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shiraz Party (ASP). Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zilifanyika mjini Zanzibar kwenye Uwanja wa Aman ambako bendera za TANU na ASP ziliteremshwa na bendera ya CCM ikapandishwa.
RETRIVED FROM
http://www.tanzanet.org/modules.php?name=News&file=categories&op=newindex&catid=3 ON 7TH, 06,2010.

No comments:

Post a Comment